lr1dq

lr1dq

Mafunzo

Walimu wa Elimu ya Kikristo CCT Mkoa wa Iringa baada ya mafunzo ya CBS walifurahi kupewa ujuzi zaidi na mbinu bora kwa ufundishaji.

Kamati ya Mkoa

Mwenyekiti wa CCT Mkoa Askofu Dr Joseph Mgomi (kulia) akiwa na Askofu Agripa Kyamajoli wa Baptist Kanda ya Iringa na Chaplain wa CCT Mkoa pamoja na Askofu Gaville kushoto siku maalumu baada ya kuwaingiza kazini Kamati ya Mkoa