Mwelekeo wa Mpango Mkakati wa 2025–2035ni wa Kichungaji unaotokana Utume wa Kanisa unaosema “enendeni Ulimwenguni Mkaitangaze Injili kwa viumbe wote” (Mk 16:15). CCT Mkoa wa Iringa ni sehemu kamili ya jamii ya Kitanzania ambayo mwelekeo wake kitaifa unafafanuliwa na mpango wa maendeleo ya Taifa (National Vision) 2025wenye lengo kuu la kuipeleka Tanzania kutoka nchi yenye uchumi duni kimaendeleo kwenda uchumi wa Kati; na kwa neema ya Mungu nchi yetu ya Tanzania iliingia kwenye Uchumi wa Kati Julai 2020, miaka mitano kabla ya wakati uliotarajiwa. Hii imeendelea kuifanya Tanzania kuwa na uchumi imara na wenye ushindani, utakaotoa fursa za kijamii na kiuchumi, utendaji bora kwa sekta ya umma na usimamizi bora wa Mazingira. Soma zaidi
HUDUMA ZETU
Tunachofanya Mkoani Iringa
CCT Iringa imeanzishwa kama sehemu ya utekelezaji wa shughuli za CCT katika ngazi ya Mkoa, kwa kuzingatia mwongozo wa kitaifa.
Utume na Uinjilisti
Kuimarisha umoja wa makanisa wanachama CCT, kusimamia watoto shuleni kupitia UKWATA.
Huduma za jamii
Maendeleo ya jamii
Omba huduma unayohitaji hapa:
HABARI NA MATANGAZO
Habari Mpya za CCT Iringa
Fuatilia shughuli na matukio ya hivi karibuni mkoani Iringa.